CHALII WA ARUSHA ALIVYOBEBA MPUNGA WA SPORTPESA Mkazi wa Arusha Bwana Revocatus M. Majura akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 10,317,378 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 11 kati ya 13 kwenye Jackpot ya SportPesa. Kulia ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano SportPesa, Bi Sabrina Msuya.
0 COMMENTS:
Post a Comment