UONGOZI wa timu ya Bayern Munich umethibitisha suala la kuitaka saini ya winga wa Manchester City, Leroy Sane.
Mwenyekiti wa klabu hiyo, Kari Heinz Rummenigge amekiri kuwa klabu yake inaiwinda saini ya nyota huyo wa Manchester City.
Rumminigge amesema kuwa hata hivyo klabu hiyo inahitaji mkwanja mrefu ili kuwapa nyota huyo.
City wanahitaji dau la shilingi pauni milioni 100 ili kumuachia nyota huyo sawa na shilingi bilioni 286 kumuachia winga huyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment