EXCLUSIVE!! MZEE KILOMONI SI MDHAMINI TENA SIMBA SC, USHAHIDI HUU HAPA
Hizi ni barua zilizotoka kwa kabidhi Wasii Mkuu wa Serikali kwenda kwa wakili wa aliyekuwa mdhamini wetu, na pia barua ya Mahakama kwenda kwa wakili huyo zinazothibitisha mdhamini huyo Mzee Hamis Kilomoni siyo mdhamini tena wa klabu yetu ya Simba.
Taarifa hii ilitolewa leo na Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori kwenye mkutano wake na wanahabari.
Hahahahahahahahaha!!! Usije shangaa kusikia mzee Kilomoni akisema wamechakachua
ReplyDeletedawa ni kumtimua kabisaaa ahamie yanga hukooo
ReplyDeleteHahahaahahaaa!! haya mavyura povu ruksaaaaaaaaaaaa.
ReplyDelete