July 29, 2019


EDEN Hazard nyota mpya wa Real Madrid amemtabiria makubwa winga mpya wa Chelsea, Christain Pulisic kuwa atafanya makubwa kwenye medani za soka. 

"Ni mchezaji mzuri na mwenye juhudi ana nafasi ya kufanya makubwa ndani ya timu yake mpya," amesema.

Pulisic amejiunga na Chelsea akitokea Borussia Dortmund kwa ada iliyogharimu kiasi cha pauni milioni 58 sawa na shilingi bilioni 165.

Hazard amejiunga na Real Madrid baada ya kutumikia timu hiyo kwa muda wa miaka saba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic