Ratiba ya Yanga mechi 19 mzunguko wa kwanza msimu wa mwaka 2019-20 unaotarajiwa kuanza Agosti 23.
28/08/2019 Jumatano
Yanga vs Ruvu Shooting uwanja wa Uhuru.
18/09/2019 Jumatano
Mbeya City vs Yanga uwanja wa Sokoine.
21/09/2019 Jumamosi
Tz Prisons vs Yanga uwanja wa Sokoine.
2/10/2019 Jumatano
Yanga vs Polisi Tanzania uwanja wa Uhuru.
20/10/2019 Jumapili
Alliance vs Yanga uwanja wa CCM Kirumba.
24/10/2019 Alhamisi
Mbao vs Yanga- uwanja wa CCM Kirumba.
6/11/2019 Jumatano
Yanga vs Coastal Union uwanja wa Uhuru.
8/11/2019 Ijumaa
Ndanda vs Yanga uwanja wa Nangwanda.
20/11/2019 Jumatano
Yanga vs KMC uwanja wa Uhuru.
23/11/2019 Jumamosi
Yanga vs JKT Tz uwanja wa Uhuru.
04/01/2020 Jumamosi
Simba Vs Yanga uwanja wa Taifa.
15/01/2020 Jumatano
Singida vs Yanga uwanja wa Namfua.
18/09/2020 Jumamosi
Mwadui vs Yanga uwanja wa Kambarage.
22/01/2020 Jumatano
Azam vs Yanga uwanja wa Uhuru.
02/02/2020 Jumapili
Yanga vs Mtibwa uwanja wa Uhuru.
05/02/2020 Jumatano
Yanga vs Lipuli uwanja wa Uhuru.
26/02/2020 Jumatano
Namungo vs Yanga uwanja wa Majaliwa.
Yanga vs Biashara
Itapangiwa Tarehe
Yanga vs Kagera
Itapangiwa Tarehe
Na za Simba ndio bado hujazijuwa au angali hazijaandaliwa na lini unataraji kuzianika?
ReplyDeleteSalehe Jembe walishaanza ujinga wao wa kufagilia timu yao hata ligi haijaanza..Hivi mwandishi kwa fikira zako zoote timamu na katika timu zoote zinazoshiriki ligi kuu wewe umeona ni saafi kabisa kuweka ratiba ya timu yako ya Bakuli FC..Tuwekee basi na ya Namungo Fc!Sasa kwa taarifa yako bakuli FC hawataambulia chochote ligi kuu na klabu bingwa hawatafika mbaali..
ReplyDeleteFungua blog yako ili uandike ratiba ya timu unayotaka wewe, sisi Bila hiana tutakuja kuisoma. Nyie mikia mnashida sana.vitu vidooogo vinawasumbua kichwa.
Deletepooovu hilo kilichoandikwa hapo juu ni habari inayostahili kuchukua tuzo ya takataka inayotuonyesha uwezo wa fikara ya mwandishi!
DeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteZa Simba kaulize Msimbazi au mtafute Manara, he'll tell you!
ReplyDeleteI love you yanga forever
ReplyDelete