Kikosi rasmi cha Azam FC, kinachotarajia kumenyana dhidi ya AS Maniema ya Kongo, kwenye mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame, utakaofanyika Uwanja wa Nyamirambo leo Ijumaa saa 12.00 jioni kwa saa Rwanda (saa 1.00 usiku Tanzania).
16 Razak Abalora
02 Abdul Omary
26 Bruce Kangwa (C)
05 Yakubu Mohammed
15 Oscar Masai
03 Daniel Amoah
22 Salmin Hoza
28 Abdallah Masoud
20 Paul Peter
11 Donald Ngoma
23 Idd Seleman
Akiba
Mwadini, Benedict, Gadafi, Lusajo, Kipagwile, Abalkassim
Mchezaji Obrey Chirwa amekosekana kwenye mchezo kutokana na kusumbuliwa na majeraha.
0 COMMENTS:
Post a Comment