July 29, 2019

HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC yenye ngome yake mkoani Lindi amesema kuwa wapo sokoni kuisaka saini ya mchezaji mmoja wa kufungia mahesabu jumla.

Thiery amesema kuwa wachezaji wengi wanahusishwa kutua Namungo kutokana na ubora wa kikosi ila kwa sasa wamebakiza nafasi moja tu ya beki.

“Tumebakiza nafasi moja kwa sasa kwa ajili ya kufunga jumla usajili wetu na nafasi ambayo imebaki ni beki lengo ni kuimarisha kikosi,” amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic