July 3, 2019

4 COMMENTS:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Mbona jamaa wanalalama Kwa kauli Kali. Yanga sio kama Simba anbapo katika Simba mchezaji anapotaka kuondoka huondoka Kwa Amani lakini Kwa wenzetu akitaka kuondoka hubembelezwa mpaka huwa karaha na ikishindikana ndio kama unavosikia hapo juu husimangwa Kwa maneno makali pamoja na kuambiwa yeyote anaetaka kubaki abaki na asietaka aondoke kwakuwa Yanga ni asisi kubwa

    ReplyDelete
  3. Timu ya Taifa inatolewa AFCON....Turudi sasa kwenye "vumbi letu na usajili wa magazeti na mihemko ya ushabiki wa timu za Kariakoo zinazodumaza soka letu"

    ReplyDelete
  4. Mpira no maisha,kila mtu ajue lake

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic