YANGA NAYO YATUMA MAJINA 26 CAF TAYARI KUKIIGA LIGI YA MABINGWA AFRIKA, YUMO SHIKALO
Majina ya wachezaji 26 wa Yanga ambayo yametumwa CAF kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao.
MAKIPA
1. Farouk Shikalo
2. Metacha Mnata
3. Klaus Kindoki
MABEKI
4. Paul Godfrey
5. Juma Abdul
6. Muharami Issa Marcelo
7. Jaffary Mohamed
8. Andrew Vicent Dante
9. Kelvin Yondani
10. Ally Ally
11. Mustafa Seleman
12. Ally Mtoni Sonso
13. Lamine Moro
VIUNGO
14. Papy Tshishimbi
15. Feisal Salum Feitoto
16. Mohamed Issa Banka
17. Patrick Sibomana
18. Issa Bigirimana
19. Mapinduzi Balama
20. Mrisho Ngassa
21. Deus Kaseke
22. Raphael Daud Loth
23. Abdulaziz Makame Bui
WASHAMBULIAJI
24. Sadney Khoetage
25. Juma Balinya
26. Kalengo Maybin








Sasa mbona wale wa under 20 hata mmoja hayupo? Jamaani?
ReplyDeleteHapa wazawa wakipata namba ni watatu tu
ReplyDeleteU20 wanajumuishwa kikosi kwenye kikosi chao, Ila haiwazuii kucheza ligi ingawa majina haya in kwa ajili ya michuano ya caf
ReplyDelete