USHAURI MECHI YA CAFCL YANGA VS ZESCO ( UWANJA WA TAIFA)
Yanga mnatakiwa muirudishe ama muunde au muanzishe kamati ya hamasa ambayo itazunguka mikoani kuhamasisha wanayanga kuja kuipa nguvu timu na kuujaza Uwanja wa Taifa siku ya mechi dhidi ya Zesco.....uwanja mzima uwe njano na kijani....kama mlivyofanya siku ya kilele cha wiki ya mwananchi....
Kwanza, kampeni hii ianze sasa msisubiri siku 3 mpaka 4 uwanja utakuwa na mapengo na ticket zianze kuuzwa wiki 1 kabla ya mechi.....watu wa mikoani waanze utaratibu wa kujipanga kuja Dar Es Salaam.....hii ni moja ya mechi ngumu sana kwa Yanga lazima wananchi waungane na Yanga wote wawe wamoja na Taifa na serikali itaongeza nguvu kwani uwanja ukijaa itasaidia kuwapa morali wachezaji kujituma
Pili, Uongozi ulisaidie benchi la ufundi pia itoe motisha kwa wachezaji na kuongeza posho kabla la mechi
Maandalizi yaanze maramoja na mipango hiyo niliyoitaja Ianze haraka.....sio maneno maneno ni vitendo vinatakiwa....na utekelezaji wa hayo niliyoyataja hapo juu
UKIMALIZA KUSOMA TAFADHALI FIKISHA UJUMBE HUU MUHIMU KWA VIONGOZI WA YANGA KWA NAMNA YEYOTE ILE
Kujipanga watajitapanga ila hakuna jipya kutoka kwa kocha...hana mbinu bora ya ufundishaji. Hapa ndipo utamkumbuka Mzee Pluim au hata Ernest Brandt...ndani ya wiki unaona mtiririko wa timu. Ila hapa kwa huyu jamaa utadhani ni timu ya taifa wamecheza mechi bila maandalizi
USHAURI MECHI YA CAFCL YANGA VS ZESCO ( UWANJA WA TAIFA)
ReplyDeleteYanga mnatakiwa muirudishe ama muunde au muanzishe kamati ya hamasa ambayo itazunguka mikoani kuhamasisha wanayanga kuja kuipa nguvu timu na kuujaza Uwanja wa Taifa siku ya mechi dhidi ya Zesco.....uwanja mzima uwe njano na kijani....kama mlivyofanya siku ya kilele cha wiki ya mwananchi....
Kwanza, kampeni hii ianze sasa msisubiri siku 3 mpaka 4 uwanja utakuwa na mapengo na ticket zianze kuuzwa wiki 1 kabla ya mechi.....watu wa mikoani waanze utaratibu wa kujipanga kuja Dar Es Salaam.....hii ni moja ya mechi ngumu sana kwa Yanga lazima wananchi waungane na Yanga wote wawe wamoja na Taifa na serikali itaongeza nguvu kwani uwanja ukijaa itasaidia kuwapa morali wachezaji kujituma
Pili, Uongozi ulisaidie benchi la ufundi pia itoe motisha kwa wachezaji na kuongeza posho kabla la mechi
Maandalizi yaanze maramoja na mipango hiyo niliyoitaja Ianze haraka.....sio maneno maneno ni vitendo vinatakiwa....na utekelezaji wa hayo niliyoyataja hapo juu
UKIMALIZA KUSOMA TAFADHALI FIKISHA UJUMBE HUU MUHIMU KWA VIONGOZI WA YANGA KWA NAMNA YEYOTE ILE
Ahsante
Kujipanga watajitapanga ila hakuna jipya kutoka kwa kocha...hana mbinu bora ya ufundishaji. Hapa ndipo utamkumbuka Mzee Pluim au hata Ernest Brandt...ndani ya wiki unaona mtiririko wa timu. Ila hapa kwa huyu jamaa utadhani ni timu ya taifa wamecheza mechi bila maandalizi
DeleteNafasi ya kocha mbona hajatangazwa?
ReplyDelete