LEO Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na Vodacom inaendelea ambapo mechi mbili zitachezwa kwa timu nne kushuka uwanjani kama ifuatavyo:- Mwadui v Singida United, uwanja wa Mwadui. Lipuli v Mtibwa Sugar uwanja wa Samora. Mechi zote zinapigwa saa 10:00 jioni.
0 COMMENTS:
Post a Comment