KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA UD SONGO HIKI HAPA
Kikosi cha Simba SC kitakachoanza dhidi ya UD Songo, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3.Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Pascal Wawa
6. Jonas Mkude
7. Francis Kahata
8. Sharaf Shiboub
9. Meddie Kagere
10. Clatous Chama
11. Deo Kanda
Kikosi cha akiba
12. Benno Kakolanya
13. Mohamed Hussein
14. Tairone Da Silva
15. Gerson Fraga
16. Mzamiru Yassin
17. Hassan Dilunga
18. Miraj Athuman
Kakolanya ndo angedaka manula bado hajawa fiti
ReplyDeleteHata mm nmeshangaa ila hatuwez judge sana sabab yy nfo yupo nao kambin muhim n ushind t haijalish nani kaanza
ReplyDeleteNadhani kikubwa zaidi ni maelewano kati ya safu ya ulinzi na kipa wao ndicho kilichozingatiwa. Bado kakolanya hajajenga maelewano mazuri na mabeki wake licha ya ubora wake.
ReplyDeleteHaina shida kikosi kipo poa Ila mbona sijaona jina LA mlipili hata benchi
ReplyDeleteMamba Magumu
ReplyDelete