PICHAZ: SIMBA WALIVYOJIFUA GYMKHANA KWA AJILI YA MECHI NA JKT TANZANIA Kikosi cha Simba SC kimeendelea na mazoezi yake leo kunako Uwanja wa Gymkhana jijini Dar es Salaam yakiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo na JKT Tanzania wa Ligi Kuu Bara.
0 COMMENTS:
Post a Comment