RATIBA YA MECHI TANO ZA KIBABE KWA YANGA HIZI HAPA. WATAPONA?
Ratiba ya mechi tano za Yanga zijazo katika Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu Afrika
September 14 (Dar)
Yanga SC vs Zesco United.
Caf Champions League
September 18 (Mbeya)
Mbeya City vs Yanga SC
Vodacom Premier League
September 21 (Mbeya)
Tz Prisons vs Yanga SC
Vodacom Premier league
September 26 (Zambia)
Zesco United vs Yanga SC
CAF Champions League.
October 02 (Dar)
Yanga SC vs Polisi Tanzania
Vodacom Premier League
Mbona za Mnyama huzitaji ambazo Pia tunahitaji kuzijuwa ???? Hahahaaaaa
ReplyDelete