August 17, 2019


NGAO ya jamii kwenye jumla ya mechi 11 zilizochezwa tangu 2001 mabao 22 tu yamefungwa.

Katika mabao hayo hakuna hat trick hata moja mpaka sasa rekodi zinamkumbuka Mbrazili, Geilson Santos 'Janja' ambaye ni miongoni mwa waliotupia mabao mawili.

Wale wote waliofurukuta waliishia kutupia mabao hayo mawili tu nao ni pamoja na John Bocco, Donald Ngoma, Jaja.

Baadhi ya waliotupia moja ni Kagere, Kapombe, Dilunga, Sabato,Boban

1 COMMENTS:

  1. Sishangai yanayotokea Yanga kwenye mechi za kirafiki na za mashindano ya CAF nilishashauri huko nyuma kuwa Yanga inahitaji kuliimarisha benchi la Ufundi kuongeza ujuzi na mbinu kwani viwango vya wachezaji vinaporomoka kwa kiwango cha juu mno....uwezo wa benchi la ufundi la Yanga ni mdogo mno...na kama hatua za haraka hazitachukuliwa kuliimarisha benchi la ufundi kuna hatari sana huko mbele aibu itatokea...Mimi si tu kwamba ninatathmini mchezo wa soka kwa umahiri ninazichambua timu kutokana na mechi zinazocheza.....nilisema kuwa Yanga inahitaji kuiiga Simba kutafuta Kocha Msaidizi kutoka Ulaya au Hata Amerika Kusini au Asia au Hata Africa mwenye viwango vya FIFA....ili wachezaji waongezewe mbinu katika mashindano.....Bado Yanga wana wachezaji wazuri lakini soka wanalocheza watapata tabu wakicheza na timu zenye mbinu za kubadilisha mchezo haraka.....kwahiyo hili la kubadilisha au kuliimarisha benchi la ufundi haliepukiki

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic