August 25, 2019

12 COMMENTS:

  1. Hata haeleweki. Hakuna wa Kuwajibika hapo. Kama mpira mkubwa simba imecheza isipokuwa hawakuwa tu na bahati ya kupata magoli

    ReplyDelete
  2. Kahata ameona matokeo ya Thuor Timbe? Sirkal

    ReplyDelete
  3. Hahahaha had hakuwa na bahati subilini kesho mtabahatika

    ReplyDelete
  4. Yaani wa kijana una mambo kweli kweli unajitekenya mwenyewe na unacheka mwenyewe unadai uko tayari kuwajibika kwani wewe ni kama nani katika bench la ufundi si ni mpiga porojo tu?

    ReplyDelete
  5. anajua wanataka kumuondoa kuogopa fedheha anataka kutumia matokeo haya kuwawahi aonekane aliwajibika kwa kitu asichohusika nacho kabisa,aache kiki za kijinga

    ReplyDelete
  6. Kuwajibika ni muhimu, yeye ndio anatupa matumaini na kutufanya tuishi kwenye historia, wachezaji nao wanaona hakuna anaye weza toka kwa Mkapa kihistoria, mpira hauchezwi mdomoni wala kwa historia.. angehamasisha ushangiliaji ila asiwaaminishe washabiki kwamba mechi ni nyepesi..

    ReplyDelete
  7. Wajibika tuu mdogo wangu huu ni mwaka wa wananchi

    ReplyDelete
  8. ulipewa majukumu gani mpaka ifikie hatua ya kuwajibika?

    ReplyDelete
  9. Simba ni klabu kubwa. Tutarudi tena mwakani hakuna shaka. Focus ni ile ile kuchukua makombe yote.

    ReplyDelete
  10. Nayo ni porojo tu kama zilivyo porojo zake za siku zote

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic