TANZANITE YAMPIGA MTU HUKO 8-0 TIMU ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20, 'Tanzanite' leo imepata ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Botswana kwenye michuano ya COSAFA.
0 COMMENTS:
Post a Comment