BAADA YA YANGA KUTUPWA NJE, TIMU 16 ZILIZOINGIA HATUA YA MAKUNDI KLABU BINGWA AFRIKA
Baada ya Yanga kuondolewa juzi dhidi ya Zesco United, hizi hapa timu 16 zilizofuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League)
1. 1° de Agosto (Angola) π¦π΄
2. USM Alger (Algeria) π©πΏ
3. Al-Ahly (Misri)πͺπ¬
4. Wydad AC (Morocco) π²π¦
5. Raja CA (Morocco)π²π¦
6. Vita Club (DR Congo) π¨π©
7. Etoile du Sahel (Tunisia) πΉπ³
8. Al-Hilal (Sudan) πΈπ©
9. JS Kabylie (Algeria) π©πΏ
10. Platinum (Zimbabwe) πΏπΌ
11. Petro Luanda (Angola) π¦π΄
12. TP Mazembe (DR Congo) π¨π©
13. Sundowns (Afrika Kusini) πΏπ¦
14. ES Tunis (Tunisia) πΉπ³
15. ZESCO (Zambia) πΏπ²
Hawa jamaa miaka mia, wao wako juu tu..
ReplyDeletehizi ni 15 sio 16
ReplyDeleteAlgeria wana timu mbili hapo.
ReplyDeleteCongo DRC wana timu mbili hapo.
Angola wana timu mbili hapo.
Morocco wana timu mbili hapo.
Tunisia wana timu mbili hapo
Sudani licha ya vita vya wenywewe kwa wenywewe lakini wamefanikiwa kuingiza timu hatua ya makundi. Na usisahau wasudani haohao wamekuja kutupiga kwetu na timu yao ya taifa. Sisi watanzania katika michezo tunelaaniwa wapi? Nnachokiamini mimi kama si fitina za Simba na Yanga za wenyewe kwa wenyewe basi Yanga alikuwa na uwezo wa kumpiga zesco. Haya mambo ya kuhujumiana kati ya Simba na Yanga kwenye mechi za kimataifa hata kwa maneno tunaichukulia poa ila ni moja ya mambo yanayoturejesha nyuma kweli kweli.Niliona furaha na kejeli za watu wa Yanga wakati Simba ilipotolewa kimataifa ilikuwa hatari yaani maudhi na kadhalika nilishuhudia furaha na kejeli za kisasi za mashabiki wa Simba baada ya Yanga kutupwa nje ya klabu bingwa Africa. Mambo haya yanaturejesha nyuma na kamwe hatuwezi kupiga hatua. Kwa upande mwengine ukata wa huu Africa mashariki kuondolewa kwa Simba mapema ilikuwa dalili tosha yakwamba mara hii tunaelekea kubaya na ndivyo ilivyotokea.