GUARDIOLA AJIUNGA GIRONA FC Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amejiunga na klabu ya Girona ya Hispania ambayo ilishuka daraja msimu uliopita. Guardiola amejiunga na klabu hiyo akiwa ni mwanachama wa timu hiyo ambayo inamilikiwa na kuendeshwa na kaka yake, Pere Guardiola.
0 COMMENTS:
Post a Comment