Lyanga alitoa asisit ya bao lililopachikwa kimiani dakika ya 61 kabla ya kufunga bao la pili dakika ya 72 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo uwanja wa Mkwakwani.
Huu unakuwa mchezo wa pili kwa KMC kupoteza baada ya mchezo wa kwanza kupoteza mbele ya Azam FC uwanja wa Uhuru na leo imepoteza ikiwa ugenini uwanja wa Mkwakwani.
Coastal Union ilipoteza mchezo wake wa kwanza mbele ya Polisi Tanzania na leo imebeba pointi tatu mbele ya Coastal Union.
0 COMMENTS:
Post a Comment