September 15, 2019


Inaelezwa kuwa aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Simba, Salim Abdallah 'Try Again' amependekezwa kuchukua nafasi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Swedi Kwabi ambaye amejiuzulu jana.

Taarifa za ndani zinasema kuwa Bodi ya Wakurugenzi imemshauri Again agombee nafasi hiyo pindi muda wa uchaguzi utakapowadia.

Mapendekezo hayo inaelezwa yametokana na namna Again alivyoingoza vizuri Simba wakati akikaimu nafasi ya Evans Aveva aliyekuwa Rais wa Simba kwa wakati huo.

Klabu hiyo kongwe sasa intaendelea na majukumu yake bila ya kuwa na Mwenyekiti kufuatia kujiondoa kwa Nkwabi ambaye hajamaliza hata mwaka mmoja tangu kuchaguliwa kwake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic