ISHU YA MAKAME KUJIFUNGA YAZIDI KUWA GUMZO, UONGOZI YANGA WATOA TAMKO JUU YAKE Kilichoandikwa na uongozi wa Yanga kuhusiana na ishu ya Abdulaziz Makame kujifunga katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zesco kutoka Zambia.
Mmmebadilisha habari na kuandika tofauti na mlichoandika jana na kufuta comment za wadau..Mmeamua ondoa uchafu went mtandaoni?
ReplyDeleteNgoja tuwakumbushe Jana mliandika huwa Makame Alisa penalty..hulu mkijua Kuwa iliiondoa timu yenu ya Yanga kwa kujifunga
Itakuwa aliyeandika habari ya awali ni Yanga damu
ReplyDelete