September 9, 2019

10 COMMENTS:

  1. Daudi Albert Bashite, mtoto wa Mzee Albert Malyangiri wa Kolomije ....

    ReplyDelete
  2. Asubiri makundi ataona cha moto, Warundi hao ni wenzetu tu1 hakun a jipya hapo.

    ReplyDelete
  3. ni wakati wao wa kuzichota, si heri angewapa walau hata kidogo kila mmoja? kuliko mmoja pekee kisa man of the match jaman mm kwangu alikuwa ni yondan au nyoni hawa ndo wazee wa kazi

    ReplyDelete
  4. Hizi hela no zake za mfukoni au ni za walipa kodi wa nchi hii?

    ReplyDelete
  5. Tunawasahau wakulima waliopo mbali vijijini,wanasota usiku na mchana,wanalipwa nini kwa kazi zao?

    ReplyDelete
  6. Nyie mliochangia hapo juu kama vile mnahangaika wa kumpata kukuchokoeni katikati ya makalio yenu. Kuna fungu la wachezaji kwa ujumla na kuna fungu la mchezaji binafsi anaejitoa kuzitia ndimu ari za wachezaji wengine kuipigania timu. Hayo mambo ya kipumbavu ya kuleta hekaya za kisiasa kwenye michezo hazita mnufaisha yeyote.Kuna wapumbavu walifurahi matapeli walipofanya jaribio la kuizuia ndege yetu kule Africa kusini. Wasaliti kwenye nchi hii wanatembea hadharani kwa kujivika vazi la uhuru wa kisiasa na kujieleza.Makonda ni serikali. Sasa serikali ikifanya jitihada fulani watu wanabeza na isipofanya kitu watu wanatukana sisi watanzania tunataka nini

    ReplyDelete
    Replies
    1. Alichofanya sawasawa.nampongeza sana RC.wewe kama unaona Nyoni au Yondani ndio walistahili hukatazwi na wewe kuwapa.Hizi ni hela zake mwenyewe ana hiari.wasaidiwe wakulima?kwahiyo watu wasifanye chochote kisa kuna wakulima?

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic