MOTO wa Ligi Kuu Bara bado unazidi kuchanja anga ambapo kwa sasa ipo raundi ya tano.
Baada ya mabingwa watetezi Simba kushida michezo minne ambayo ni sawa na dakika 360 sasa ngoma mwezi Octoba wana mechi tatu za ligi kama ifuatavyo:-
Simba itemanya na Azam FC, Octoba 23 uwanja wa Uhuru kisha Octoba 27 itakutana na Singida United uwanja wa Namfua, Singida na itafunga hesabu na Mwadui FC uwanja wa Kambarage Shinyanga kwa mwezi Octoba.
0 COMMENTS:
Post a Comment