BREAKING: MO DEWJI ATAJA ALICHOFANYIWA NA WATU WASIOJULIKANA MWENYEKITI wa Bodi ya Uwekezaji ndani ya Simba, Mohamed Dewj 'Mo', leo ameongea kile alichofanyiwa na watu wasiojulikana ambao walimteka mwaka mmoja uliopita na kumrejesha akiwa salama. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe huu:-
i feel you Dewji. God is great
ReplyDelete