October 11, 2019


MCHEZO wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika utakaowakutanisha wawakilishi wa Tanzania, Yanga na Pyramid ya Misri sasa utapigwa uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Yanga ni wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano ya Kimataifa baada ya timu tatu kupigwa chini mazima kwa kushindwa kupata matokeo.

Azam FC ambayo ilikuwa inawakilisha nchi kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho pamoja na KMC zote zilitolewa mapema sawa na Simba ambayo ilikuwa inawakilisha nchi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mchezo huo utapihwa Octoba 27 uwanja wa CCM Kirumba ni baada ya makundi kupangwa nchini Misri, Octoba 10.

7 COMMENTS:

  1. Acheni kutapatapa na uchawo wenu na hiyo mganga kawadanganya kuwa mwanza mtapata matokeo ! Tatizo lenu linajulikana fukuzeni hiyo zuhura anawaharibia timu !!!¡

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha kumdhalilisha mwalimu mwinyi, huyo wenu aliye na maana kawashindwa had ud songo

      Delete
  2. Basi mkachezee pemba mnapo endaga kokote kule hata mkicheza kaunda lazima mfungwe tu

    ReplyDelete
  3. Hata mchezee Kibaha kipigo kama kawaida.Mbio za sakafuni huishia ukingoni.

    ReplyDelete
  4. mikia inatapatapa tu,mbona nyny mulpendekeza mwaka jana mech na al ahly mucheze saa 8 lakn mulkataliwa 7bu mulchelewa leo knachowavuruga nn mpk muinglie mambo ya watu kaen kmya watoto hii ngoma ya wakubwa.

    ReplyDelete
  5. Huko mwanza Yanga ndio wanaenda kufa kabisa kwani kocha wa pyramids amesogezewa mechi nyumbani. Si aghlabu akaenda kueka kambi Uganda.

    ReplyDelete
  6. Hata wachezee kwenye keep left mtakufa tu.Tunangoja visingizio.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic