October 18, 2019


IMEELEZWA kuwa wachezaji wakongwe ndani ya Manchester United hawaridhishwi na utendaji kazi wa kikosi cha kwanza cha timu yao hasa katika idara ya ushambuliaji.

Kieran McKenna ni msaidizi wa Ole Gunnar Solskjaer ambaye ndiye anayehusika na maandalizi ya kikosi kabla ya Meneja mkuu ambaye ni Ole Gunnar Solskjaer kuchukua maamuzi ya mwisho.

Imeelezwa kuwa wachezaji hao wanaamini kuwa Kocha huyo hawezi kuwaandaa wachezaji vizuri kabla ya mechi hasa Kwenye safu ya ushambuliaji ambayo imekuwa butu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic