MAGORI AWAKA KUHUSU TAARIFA ZA WACHEZAJI SIMBA KUDAI FEDHA, ATISHIA KWENDA MAHAKAMANI
Imeelezwa kuwa aliyekuwa CEO wa klabu ya Simba, Crescentius Magori amekanusha taarifa ambazo zimesambaa katika mitandao ya kijamii kuwa baadhi ya wachezaji wa timu hiuo kugoma.
Taarifa zilizosambaa awali zilieleza kuwa baadhi ya wachezaji wa Simba waligoma na sababu zikitajwa kuwa wanaidai fedha zao za usajili.
Kufuatia kusambaa kwa taarifa ikiwemo kupitia kituo kimoja cha Radio hapa nchini, Magori ameibuka na kusema atalifikisha suala hilo katika vyombo vya sheria kwakuwa linaidhalilisha klabu.
Taarifa imesema kuwa Magori atafika katika vyombo vya sheria ikiwemo kukishtaki chombo kilichohusiaka na kusambaza taarifa hizo ambazi si za ukweli.
Ni vizuri Simba mara hii wakawa siriaz kuwachukulia hatua hawa wapumbavu kwani lengo lao ni kutaka kuleta sintofahamu na kuichafua timu na uongozi ambao hakika unafanya kazi kubwa ya kuijenga simba imara .
ReplyDeleteSURE
ReplyDeleteAlizoea kupiga huyooo
ReplyDeleteWafikishwe mahakamani. Wajinga waliozoea kuzusha.
ReplyDeleteNa pia tabia hii ya kizushi inanikera kuwa Simba inashinda Kwa kuhonga marefa nao wafikishwe mahakamani wakawataje wahongaji na sielewi Kwa nini viongozi wa Simba hakuwafikisha wale walio zusha kuwa Simba iliwapulizia dawa wapinzani wao kwenye vyumba
ReplyDeleteYANGA madomo kinyesi kila pale wanapozidiwa uwezo na simba badala ya kukiri udhaifu wa timu yao lakini siku zote hukimbilia kuzusha mambo ya kijinga juu ya Simba.
ReplyDeleteTatizo lako unatumia tigo kuzungumzia badsala ya mdomo!
Deletetatizo lako kubwa unateseka sana sana kuhusu simba bora uendelee na kazi yako ya kutoa mbwa nje
Delete