PYRAMIDS WATUA MWANZA Picha mbili zikionesha namna Pyramids FC walivyotua jijini Mwanza leo kwa ajili ya mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Yanga. Mechi hiyo itachezwa Jumapili ya Oktoba 27 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
0 COMMENTS:
Post a Comment