October 25, 2019


Imeelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ameahidi kutoa kitita cha shilingi za kitanzania, milioni 100 kwa wachezaji wake.

Fedha hizo atazitoa Zahera endapo tu Yanga watafanikiwa kuitoa Pyramids katika mashindano hayo.

Taarifa zimeeleza kuwa Zahera ametoa ahadi hiyo ili pia kutoa hamasa kwa wachezaji wake wapate morali ya kupambana kwenye mechi hiyo.

Tayari wapinzani wao Pyramids wameshawasili jijini Mwanza kwa ajili ya mechi hiyo itakayipigwa Jumapili ya Oktoba 27 2019.

11 COMMENTS:

  1. Anajua hawawezi ndo maana katoa ahadi hyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeongea nae kakwambia hayo? umbea muda mwingine sio mzuri

      Delete
  2. Wewe usiweke milioni mia mbili weka mkundu tu unatosha

    ReplyDelete
  3. Simba endeleeni kununua mechi za ligi yataendelea kuwakuta yaliyowakuta kwa UD SONGO

    ReplyDelete
  4. Unanunua mechi nwisho hutoboi,ubingwa mwakajana marefa walipangwa game za Mwisho,matokeo yake wakaaibika,!

    ReplyDelete
  5. Unanunua mechi nwisho hutoboi,ubingwa mwakajana marefa walipangwa game za Mwisho,matokeo yake wakaaibika,!

    ReplyDelete
  6. Hata Yanga pua walinunuliwa ndio maana wakafunga nä Azam,Biashara na Simba .Msimu huu mapema tu mmenunuliwa nä Ruvu Shooting Stars.Kesho waarabu wanawanunua.Timu mbovu kila siku visingizio.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama kweli mnashinda kihalali mechi zote kwa magoli mengi mnashindwa kuifunga UD Songo mechi mbili (Kagere jicho anawafumbia Kagera sugar tu!!). Wale Warundi juzi mmewashindwa. Hamjagundua tu fitina zenu za kununua mechi za ligi?

      Delete
    2. Aibu!! Mnaua mpira wa Tanzania. Tuseme ukweli nyie kwa mchezo wa wazi hamuwezi kuwafunga Kagera wala Azam. Mnawanunuwa wachezaji wa timu pinzani ili wafanye makosa Kagere afunge. Mnampa sifa bure huyo Kagere na kufanya wachezaji wetu waonekane hawafai.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic