October 26, 2019


Kikosi cha Simba asubuhi ya leo kitaondoka Jijini Dar es Salaam kwenda Arusha.

Simba wanaondoka Dar es Salaam kwenda Arusha ambako Jumapili Oktoba 27, 2019 kitacheza mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Singida United.

Simba wanasafiri na majeshi yao yote wakiwa na malengo ya kuhakikisha wanazidi kujikusanyia alama tatu.

Mpaka sasa wekundu hao wa Msimbazi wako kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa na alama 15 na wakishinda mechi zote.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic