October 11, 2019

9 COMMENTS:

  1. Yaani Simba yupo juu kuliko Enyimba na Orlando pirates haiwezekani bana lazima nipeleke malalamiko CAF ya kutoridhika na maamuzi yao naona kama wanaipendelea Simba . Yaani simba ni kumi na sita bora Africa? Huku wakitolewa raundi ya kwanza Africa? Lazima kutakuwa na makosa ya chapisho la orodha ya viwango. Natafuta msaada kutoka kwa mwinyi Zahera kusukuma malalmiko yangu CAF kuhusu kiwango cha Simba Africa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Cjui ata we mdau unalalamika nn tp mazemba ni wa ngap na katolewa hatua gan angalia point haina ubixh hyo

      Delete
  2. Hizo takwimu ni za wapi jamani. Angalia Africa Football / Soccer Clubs Ranking ya oktoba 2019, nimejaribu kuangalia takwimu za CAF naona si sahihi nisaidieni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa tukusaidiaje wakati na sie wote tunaziona hizo data kweupe mchana bila tochi.Tuwekee na wewe hizo data ulizonazo tujiridhishe.Labda Simba wamehonga CAF kuwa ktk nafasi hiyo.kwako mutu wa vipensi unalizingumziaje hili?

      Delete
  3. Twakwimu hizi zinatolewa na watu makini sana. Moja ya vigezo wanavyoangalia ni pamoja na ushiriki wenye mafanikio wa timu miaka ya karibuni. Unazungumzia Enyimba au Orlando Pirates, hizo timu hazijawa na ushiriki wenye mfanikio miaka ya karibuni, zilipotea kabisa. So, Siiiiimba, wanastahili kabisa.

    ReplyDelete
  4. This is Siiiimba brothers & Sisters

    ReplyDelete
  5. Kwenye website ya CAF hii kitu haipo,labda Ni ranks za sarehjembe na Simba yake

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic