October 11, 2019


Licha ya Yanga kupitwa pointi nane na watani zao Simba kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, straika wa Yanga, Mzambia Maybin Kalengo ameweka wazi kwamba wao hawashindani na Simba hata kidogo.

Straika huyo aliyetua Yanga akitokea kwa mkopo Zesco United ya Zambia ameweka wazi hilo wakati ambao Yanga wapo nafasi 14 kwenye msimamo wakiwa na pointi nne huku Simba wakiwa kileleni na pointi 12.

Mzambia huyo amesema kwamba wao hawashindani na Simba hata kidogo kutokana na kujiwekea malengo ya kupambana na timu zote za ligi na kutwaa pointi tatu kilawatakapokutana nao.

“Kwa sasa hatuwezi kuwaahidi sana mashabiki zetu kwamba tutafanya nini kwa sababu ndiyo ligi iko mwanzoni lakini kitu kikubwa tutakachofanya ni kupambana. “Hatuwezi kusema

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic