Kamati ya Utendaji Yanga yatangaza Wajumbe Wapya wa Kamati ya Ujenzi na miundo mbinu, sambamba na viongozi wawili wa kamati hiyo ya ujenzi kutoka Kamati ya Utendaji.
Hivi Saleh Jembe mnajifanya hamjui kuwa Yanga imeomba kiporo Chao kisogezwe mbele.Zahera mwaka jana alikuwa hataki kiporo chochote Simba aongezewe muda.Mbona Azam haijaomba wakati was wallenda mbali justin zaidi Zimbabwe .Au hii sio habari muhimu kwenu! Basi tuandikieni kuwa Yanga imeweka rekodi ya kipekee kama timu pekee CAF iliyojitoa mashindanoni kwa kujifunga
Hii club ya Yanga utafikiri inaundwa upya au ni club mpya kila siku ni kamati tu jipya hakuna kamati zimetawala
ReplyDeleteujenzi wa nini sasa??
ReplyDeleteSijaelewana na headline. Kamati ya ujenzi. Maelezo pending of real headline.
ReplyDeleteHivi Saleh Jembe mnajifanya hamjui kuwa Yanga imeomba kiporo Chao kisogezwe mbele.Zahera mwaka jana alikuwa hataki kiporo chochote Simba aongezewe muda.Mbona Azam haijaomba wakati was wallenda mbali justin zaidi Zimbabwe
ReplyDelete.Au hii sio habari muhimu kwenu! Basi tuandikieni kuwa Yanga imeweka rekodi ya kipekee kama timu pekee CAF iliyojitoa mashindanoni kwa kujifunga