BAADA ya kupigwa chini kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho sasa nguvu za Azam FC zinaelekea kwenye ligi ambapo ratiba yao kwa mwezi Octoba itakua ni bandika bandua.
Hizi hapa mechi zake nne ambazo itacheza kwenye ligi na itaanza kesho uwanja wa Azam Complex, kabla ya kumaliza na Simba mwishoni mwa mwezi ikiwa na hasira ya kutolewa ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika na UD do Songo:-
Azam FC v Ndanda, Octoba 2, uwanja wa Azam Complex.
Azam FC v Namungo, Octoba 5, uwanja wa Azam Complex.
Azam FC v JKT Tanzania, Octoba 19 uwanja wa Azam Complex.
Simba v Azam FC, Octoba 23, uwanja wa Uhuru.
0 COMMENTS:
Post a Comment