ALGERIA ambao ni mabingwa wa michuano ya Afcon iliyofanyika nchini Misri wametajwa kwenye timu ambazo zinawania tuzo ya timu bora Afrika.
Kwenye tano bora ipo pia timu ya pili ambayo ilifungwa na Algeria Senegal inayoongozwa na mshambuliaji Sadio Mane anayekipiga kwa sasa ndani ya Liverpool.
Timu nyingine ambazo zinawania tuzo hiyo ni pamoja na Nigeria, Madagascar na Tunisia.
0 COMMENTS:
Post a Comment