KOCHA wa Simba, Patrick Aussems ameendelea kutumikia adhabu yake huku kikosi chake kikijifua kwenye Viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam.
Mazoezi hayo yamefanywa chini ya msaidizi wake, Denis Kitambi ambaye alijikita zaidi katika kuwapa wachezaji mazoezi ya kumiliki mpira na kufunga.
Mmewabeza sana yanga kuhusu kumfukuza kocha wao zahera,nanyi mnaingia kwenye dimbwi hilohilo bila hata ya kuwa na sababu za msingi,
ReplyDelete