HAJI MANARA AWAKA TENA KWA VIONGOZI YANGA 'HIVI MNAJUA MIPAKA YA KAZI YENU!!' Kauli ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, kuhusiana na Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli pamoja na Mhamasishaji, Antonio Nugaz.
Welldone Brother Haji wape vidonge vyao
ReplyDeleteMi nawashaaga hawa jamaa, yaani kila mmoja anajifanya ndio mwenyewe, wanaropoka tu. Yaani hata nzi akitumbukia kwa mafuta ya moto wao wanasema anaogelea kwa maji ya baridi.
ReplyDeleteHaji hayupo mmoja duniani ila kila mwaka mahaji wako milioni 3
ReplyDelete