Mkwasa chunga sana, naona umeanza kuingia kwenye anga za Zahera; kuchonga sana mdomo! Wewe ni kocha wa muda tena wa wiki mbili, mbona kila siku magazetini umesahau kwamba ajira tako ni ya muda mfupi? Jikite kwenye taaluma na kidogo utawala hayo ya kusema si uwaachie kina Nugaz?
Mkwasa chunga sana, naona umeanza kuingia kwenye anga za Zahera; kuchonga sana mdomo! Wewe ni kocha wa muda tena wa wiki mbili, mbona kila siku magazetini umesahau kwamba ajira tako ni ya muda mfupi?
ReplyDeleteJikite kwenye taaluma na kidogo utawala hayo ya kusema si uwaachie kina Nugaz?
Mkwasa ni tofauti na Zahera,Zahera alikuwa anawapigia simu au anavifuata vyombo vya habari.
Delete