Mtanzania anayekipiga katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta, amekuwa miongoni mwa wachezaji waliotajwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka huu.
Mbali na Samatta majina mengine makubwa yamo ikiwemo Mohammed Salah ambaye ni raia wa Misri anayekipiga Liverpool.
0 COMMENTS:
Post a Comment