ALIYEWATOSA YANGA KUTAMBULISHWA SIMBA WIKI HII - VIDEO Wakati Yanga wakiwa wanafanya usajili wao wa dirisha dogo mabosi wa Simba wenyewe walikuwa wanazunguka huku na kule kwa ajili ya kumalizana na watu sasa wameibuka na kuweka bayana balaa lao kutambulisha vifaa vyao kuanzia leo.
Tupeni raha simba
ReplyDelete