UONGOZI wa Yanga umetangaza kumsimamisha kazi, Kaimu Meneja wa timu hiyo Dismas Ten kwa ajili ya uchunguzi kwa kile walichoeleza kuwa amekiuka mkataba kwa kuwavalisha benchi la ufundi mavazi na wachezaji yasiyo na nembo ya GSM mpaka uchunguzi utakapokamilika kwenye mchezo wa Jana, Desemba 30 dhidi ya Biashara United.
BREAKING: KIGOGO YANGA ASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI
UONGOZI wa Yanga umetangaza kumsimamisha kazi, Kaimu Meneja wa timu hiyo Dismas Ten kwa ajili ya uchunguzi kwa kile walichoeleza kuwa amekiuka mkataba kwa kuwavalisha benchi la ufundi mavazi na wachezaji yasiyo na nembo ya GSM mpaka uchunguzi utakapokamilika kwenye mchezo wa Jana, Desemba 30 dhidi ya Biashara United.
Gombaneni na huku Mnyama kinywa wazi Ana njaa anakungojeeni
ReplyDeleteMshaanza propaganda shubakengemit zenu
ReplyDeleteHao vyura wa jangwani
ReplyDeleteMolinga nae alipanda bodaboda baada ya kubadilishwa uwanjani.Aligoma kurejea na kutokomea zake.
ReplyDeleteNasikia eti sheikh yahya ana wafuasi kibao kazi yao no kutabiri kukicha
ReplyDeleteAlishatabiri nasikia pale mechi hiyo viongozi wa timu fulani wataanza kuvurugana kwa hofu wenyewe kwa wenyewe na haya tayari yameshajitokeza
ReplyDeleteHaya mazingira ya mitifuano na mfarakano si dalili nzuri kuelekea mechi ya Jumamosi...mashabiki wa Yanga wanavurugu kwa hiyo Nawaonea huruma Viongozi wa Yanga haya mambo yasije yakasababisha kutokea vurugu kubwa pindi timu itakapofungwa ....amani isije kutoweka si Jangwani tu bali nchi nzima....
ReplyDelete