Game ngumu kwenu ni za ya UD SONGO ya wamachinga na vile vitimu vya Kirundi ambavyo hamna access ya kununua. Ukiona huyu Manara anaita watu uwanjani ujue kashauziwa mechi. Najua mwaka huu kwenye FA hamtafanya kosa mtavinunua ata hivo vitimu. AIBU mnaua mpira wa Tz. Kuonyesha simba haishindi kihalali angalia walivomtimua kocha. Hawasikiliza ata rai ya PM na Speaker ya kuacha kutimua makocha wakati wakilalamikia kitendo cha Yanga kumtimua Zahera. Najua sasa mnaanza kutamba mechi ya trh 04 nahisi mmeshapata wa kumnunua. Lkn mjue hizo campaign zenu za kuwapumbaza wapenzi wenu kwa kununua mechi ni aibu kwa timu kama SIMBA.

ReplyDelete