Wakati wengi wakisubiri kwa hamu mechi kati ya watani wa jadi kati ya Yanga na Simba, kumekuwa na uzito mkubwa katika suala zima la usajili ambapo kila timu imeonekana kupania kwa kiasi kikubwa kufanya usajili huku kukiwa na hali ya ushindani baina ya timu hizo kufanya usajili kupitia wawekezaji wa tumi hizo GSM na MO DEWJ jambo ambalo limeacha kumzo mtaani hasa kuelekea mechi ya watani hao wa jani mnamo mwezi january mwakani 2019.
Mwandishi anasema usajiri kupitia wawekezaji , hivi yanga nayo tayari ilikwishakuwa na mwekezaji . hongera yao kwa kufanya mabadiliko ya kimyakimya
ReplyDelete