KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA NDANDA, BOCCO, NDEMLA WAANZA Kikosi cha Simba dhidi ya Ndanda FC, mechi ya Ligi Kuu Vodacom itakayoanza saa 10 kamili jioni.
John bocco alivyokua na uchu mbona ndanda jipangeni.
ReplyDeleteLeo mtawapiga 10 so unajua hata ndanda wanataka hela za kujikimu
ReplyDeleteKwhy simba haiwezi kushinda bila kutoa hela?acha uzwazwa huo..
DeleteMapemaa saleh jembe ingekuwa ni timu yenu ya gari la mkaa lililokwama matopeni tayari mngekuwa mmeishaweka matokeo.Endeleeni kumuota Dmitri Nchimbi!
ReplyDelete