MZEE AKILIMALI AFARIKI DUNIA Aliyekuwa Katibu wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali, amefariki duniania leo. Akilimali amefariki akiwa Bagamoyo, Pwani baada ya kuumwa kwa muda mrefu. Taarifa zaidi juu ya msiba tutakupatia hapa Saleh Jembe, endelea kuwa nasi.
Daah! hakika duniani tunapita!
ReplyDeletepumzika kwa Amani Mzee Akili Mali. AMEN
Inna lilaahi wainna ilayhi raajiun hakika huyo ndio mungu aliesema hakuna wa kupambana na kifo hata uwe nani tusisahau tulikotoka jamani pumzika kwa amani mzee
ReplyDeletepumzika Mzee wetu mungu na atoe hukumu kwa kadili ulivyo Fanya amina
ReplyDeleteInna lillah wainaillah rajiun
ReplyDeletePole kwa familia yake,wana Yanga wenzake na pia pole kwa swahiba wake Saleh Ally au kama anavyojiita Saleh Jembe
ReplyDeleteInalilah wainailah rajioun
ReplyDeletePumzika kwa aman mzee
ReplyDeleteInnalillah wa inna Ilayhi rajiun
ReplyDelete