December 25, 2019


Uongozi wa klabu ya Yanga umesema kuwa Mwamuzi wa juzi aliyechezesha mechi dhidi ya Mbeya City alikuwa na matokeo mkononi.

Kwa mujibu wa Ofisa Uhamasishaji, Antonio Nugaz, ameeleza kuwa walipoteza mechi hiyo sababu Mwamuzi hakuweza kumudu mechi hiyo.

Amefunguka akieleza mechi ilikuwa ya ujanjaunjanja na ndiyo maana ikapelekea iweze kumalizika kwa matokeo ya 0-0.

Aidha, kwa upande mwingine Nugaz amesema maandalizi yao kuelekea mechi na Tanzania Prisons hapo kesho yanaenda vizuri na wamejipanga vema kupata ushindi.

2 COMMENTS:

  1. K
    . Memuondoa Zahera fundi Wa kulalamika sasa kazi hiyo. mnaibeba wenyewe wala hstokusaidieni kitu

    ReplyDelete
  2. Walipoteza au walitoka sare.Naona malaria imepanda kichwani. Hawajielewi kabisa.Kwanza refa angekuwa fair Lamine Moro angepewa kadi nyekundu kipindi cha kwanza kwa kumkanyaga mchezaji wa Mbeya kwa makusudi kabisa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic