WOLVES imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya West Ham kwenye mchezo wao wa ligi ambao ulikuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili.
Wo;ves ilianza kupachika bao la kwanza kipindi cha kwanza dakika ya 23 Leander Dendocker na lile la pili la ushindi lilipachikwa na Patrick Cultrone dakika ya 86.

0 COMMENTS:
Post a Comment