ACHANA NA STORI ZA MORRISON, CHAMA AWEKA AHADI KUBWA SIMBA - VIDEO Mchezaji wa klabu ya Simba, Clatous Chama, ameendelea kuweka rekodi ya kufunga mabao ya mbali yaani nje kabisa ya 18 ambapo amefunga tena kwenye mtanange wao na Mwadui FC.
Chama si mchezaji wa ligi kuu ya Tanzania ila ndio hivyo tena yeye mwenyewe ameamua kuishi hapa.
ReplyDelete