Imeelezwa kuwa Kichapo cha Mabao 2-1 walichopokea Mwadui FC dhidi ya Simba kimepeperusha mamilioni yaliyokuwa mezani kwa ajili ya hamasa kwa wachezaji wa Mwadui FC.
Mwadui ilishindwa kufurukuta juzi mbele ya Mnyama Uwanja wa Taifa kwenye mchezo wa hatua ya 32 bora ya comb la Shirikisho la Azam Sports.
0 COMMENTS:
Post a Comment